TRUMP AFANYA MABADILIKO TENARais Trump amemteua Mchambuzi wa masuala ya fedha televisheni nchini Marekani, Larry Kudlow kuwa mshauri mkuu mpya wa masuala ya uchumi katika Ikulu ya Marekani ya White house.

Kudlow atachukua nafasi ya Gary Cohn ambaye alitangaza wiki iliyopita kuwa atajiuzulu nafasi hiyo baada ya kupinga mipango ya rais Donald Trump inayohusiana na viwango vipya vya kodi kibiashara.

Kudlow, 70 ni mchambuzi mwandamizi katika kituo cha Televisheni cha CNBC.


mzunguko.comTufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu