KAMANDA MAMBOSASA ATOA SIRI YA MWANAFUNZI ALIYEDAIWA KUTEKWA,asema alikwenda kwa mpenzi wake iringa,

March 13, 2018

 

 

Kamanda wa polisi Lazaro Mambosasa amesema mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi Tanzania Abdul Nondo hakutekwa kama alivyodai,taratibu zikikamilika atafikishwa mahakamani kujibu mashitaka juu ya uvumo huo.

 

Taarifa kamamili zinasema Abdul Nondo alikwenda lringa kwa mpenzi wake.pia Jeshi la polisi halikuishia hapo, tulifanya uchunguzi hadi kumpeleka hospitali,vipimo vinaonyesha hakuwa na tatizo lolote na alifanya uzushi tu"- Kamanda Mambo Sasa

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon