Marekani: Vikosi vya nchi kavu ndivyo vinaweza kuivamia Korea Kaskazini


Maafisa kutoka makao makuu ya ulinzi nchini Marekani, wanaamini kuwa uvamizi wa kutumia vikosi vya Marekani vya nchi kavu, itakua njia pekee ya kupata na kudhibiti maeneo ya nyuklia ya Korea Kaskazini.

Ripoti hiyo ilikuja kwenye barua iliyotolea na makao makuu ya ulinzi nchini Marekani, kujibu ombi la bunge la kutaka kufahamu kuhusu maafa yanayoweza kutokea ikiwa mzozo utalipuka na Korea Kaskazini.


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu