Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Beki wa zamani wa Manchester United ampiga kareti shabiki wake

November 3, 2017

 

Beki wa zamani wa Manchester United Beki wa zamni wa Manchester united ampiga shabiki wake kwa miondoko ya kareti baada ya shabiki huyo kumtusi.

 

Misukosuko hiyo ilitokea kabla ya mechi yao ya klabu bingwa ndogo ya ulaya kuanza.Baada ya mashabiki hao kuwatusi wachezaji wao dakika 30 kabla ya match kuanza, uwanja ukapamba moto kabla ya mechi hiyo kuanza pindi wakiwa wanafanya mazoezi madogo.

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload