Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

ZITTO KABWE AKAMATWA NA POLISI

October 31, 2017

 

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa asubuhi hii na Afisa Habari wa Chama hicho Bwana Abdallah Khamis imeeleza kuwa KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo,Zitto Kabwe,amekamatwa na jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake na anapelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe

Sababu za kukamatwa kwake ni hotuba ya juzi Oktoba 29, 2017 katika kata ya Kijichi, Mbagala Jijini Dar es salaam katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa mdogo wa madiwani kwenye kata 43 nchini

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload