Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

HAYA NI BAADHI YA MAMBO AMBAYO MWANAMKE HAWEZI KU YAWEKA WAZI KATIKA MAHUSIANO.

October 24, 2017

 

 

Unapoanzisha mahusianona mwanamke yoyote yale faham fikayapo baadhi ya vitu hawezi kukwambia na baadhii ya mambo hayo ni

 

1.Idadi ya wapenzi wake wa zamani

Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wa ngapi kua na mwanamke Fulani.Lakini mwanamke hawezi akamwambia wewe ni wa n gap.kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.

 

2. Anakulinganisha na mpenzi wa zamani

Mwanamke mara nyingi  anakulinganisha na mpenzi wake wa zamani japokua hawezi  kukwambia waziwazi.wakati mwingine wanawake kuwatamani wapenzi  wao   wa zamani na hata kurudiana nao wakikosa  mtu aliye bora kuliko mpenzi wake wa zamani.

 

3.Kasoro zako

Mwanamke kamwe hawezi kukwambia kasoro zako.Wanawake wanajua kumfichia mpenzi wao mambo wasiotaka yajulikane kwa wengine na kwa mpenzi wake.Wanajua njia za kiujanja za kutumia ili kufichua  siri zako zote.Mwanamke hawezi  kukwambia kasoro zako kwa kuogopa kukuumiza.

 

4.Mapungufu yake

Mwanamke hawezi kukwambia mapungufu yake ladba kwa kuhofia  kushushwa thamani.Wanawake ni wasiri sana  kwa mapungufu yao wanajua vyema hofu zinazo muandama,vitu vinavyowakosesha usingizi na mambo yanayowaelemea.maishani japo sio rahisi kuonyesha.Kwa nje anaweza akaonekana yuko vizuri na hana tatizo kumbe ndani ana matatizo au mapungufu.Anaweza kufanya yote kufunika upungufu wake

 

5. Huwa unampagawisha mpaka anakosa la kusema.

Hili halisemi  kabisa mwanamke kwa sababu anaona haya kutumi maneno ya wazi  kueleza raha anayopata.Maneno ya  kuzuzua  ni himaya  ya mwanaume ,lakini wakati mwingine wapo  wasioweza kuficha.

 

6. Haumridhishi katika tendo  la ndoa.

Wanawake wengi hawapendi kusema hawaridhiki kwenye tendo la ndoa.Wanawake  wanahitaji kuandaliwakwa dakika  10,20 ama nusu saa. Mara nyingine  wanaume huwai kabla mwanamke hajawa tayari na hivyo kushindwa kuridhika  lakini hawezi kusema

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo wanawake wengi hawawezi kuyaweka wazi kaika mahusiano yake  pale anapoanzisha mahusiano   

 

mzunguko.com

 

BY  BERNADETA NJEWIKE

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload