ARSENAL YAPETA LIGI NDOGO YA UEFA(EUROPA),EVERTON YAKABWA KOONI.


Timu ya ligi kuu ya Mpira wa miguu ya nchini uingereza Arsenal jana usiku imeponea chupchupu kushindwa kutamba baada ya kushinda kwa goli moja mhuimu dhid ya Red star Belgrade.Goli hilo la lala salama lilifungwa na nyota wa Arsenal Olivier Giroud dakika ya 85 ya mchezo huo.

Dakika ya 80 ya mchezo mchezaji wa Red star alipigwa kadi nyekundu na hivyo kuwafanya wacheze pungufu.Arsenal inashilia uongozi wa kundi H ikiwa mbele kwa poiti 9 bada ya kushinda michezo yake,

Katika mchezo mwingine timu anayochezea mchezaji aliyehama mashetani wekundu wa jijini Manchester Wayne Rooney ( Everton) imeshindwa kufanya vizuri chini ya kocha wake Koeman baada ya kukubali kichapo cha goli 2-1 dhidi ya Lyon ya Ufaransa ikiwa nyumbani.source:Sky News

mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu