MATAIFA 12 KUKUTANA BRAZZAVILE KUJADILI AFRIKA

October 19, 2017

 

 

 

 

 

Viongozi  kutoka mataifa 12 ya bara la Afrika wanatarajiwa kukutana katika mji mkuu wa  Congo  Brazzavile  kwa  mkutano wa siku mbili utakaoangazia maswala tata yanayoligubika Bara hili.

 Mkutano huo wa kimataifa utazungumzia baadhi ya migogoro ikiwemo ile katika Bara la Afrika  hasa mgogoro  wa Jamhuri ya Afrika ya kati, Sudan Kusini,Burundi na Jamhuri ya Demokrasia ya Congo DRC.

 

Viongozi hao wa kisiasa kutoka Angola, Burundi. Jamhuri ya Congo DRC, Jamhuri ya Afrika ya kati, Tanzania, Sudan, Sudan Kusini, Kenya, Uganda, Rwanda, CAR, na Zambia hawajakutana katika mkutano wa kiwango kama hicho tangu mwezi June 2016……

 

By Mwanahamis Mkali.

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon