MAN U,BAYERN,BARCA,JUVE,PSG ZAPETA ULAYA,CHELSEA,ATH MADRID ZABANWA MBAVU UEFA

October 19, 2017

 

 

 

 

 Usiku wa ligi ya mabigwa ulaya iliendelea huku timu mbalimbali zikishuka dimbani kuumana vikali,katika michezo hiyo iliyopigwa usiku majira ya saa 3:45 usiku kwa saa za Afrika mashariki kila timu ilikuwa na chachu ya kujinyakiulia ushindi na kupata tiket ya kusonga mbele katika michuano hiyo mikubwa barani ulaya na Duniani kwa ujumla.

 

Katika michezo hiyo timu ya mashetani wekundu Manchester united walipata ushindi muhimu ugenini dhidi ya  Benfica ya Ureno kwa kuilaza 1-0,goli la Manchester likifungwa na mshambuliaji matata  Marcos Rashford,Barcelona ikiibuka na ushindi mnono wa magoli 3-1,goli la kujifunga la D nikolaou,L Messi, na L digne,

 

Michezo mingine iliypigwa hiyo jana ni pamoja na CSK moscow0-Basel 2,Andelecht 0-PSG 4,Juventus 2-Sporting CP 1,Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munchen wakiilaza 3-0 Celtic,Nao mabingwa wa Uingereza Chelsea wakitoshana nguvu na AS roma ya italia baada ya kutoka 3-3 Edern Hazard akiiokoa timu yake baada ya kuisawazishia goli dk za majeruhi katika mchezo mzuri na wa kusisimua,Athletico Madrid wakitoa sare  tasa na Qarabag.

 

Zaidi Tazama hapa,

 

Juventus 2 - 1 Sporting CP

Barcelona 3 - 1 Olympiakos Piraeus

CSKA Moskva 0 - 2 Basel

Anderlecht 0 - 4 PSG

Benfica 0 - 1 Manchester United

Bayern München 3 - 0 Celtic

Chelsea 3 - 3 Roma

Qarabağ 0 - 0 Atlético Madrid

 

 

mzunguko.com

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon