CONTE AMCHANA JOSE MORINHO

October 19, 2017

 

 

 

 

 

 

Kocha mwenye micharuko ya aina yake wa mabingwa msimu uliopita Chelsea Antonio Conte amevunja ukimya baada ya kumchana kocha mwenzake wa mashetani wekundu wa mjini Manchester,(Manchester United)

 

Hayo yametokea jana baada ya Morinho kudai kwamba kuna makocha wengine hulalamika hovyo eti kisa vikosi vyao vinamajeruhi,Morinho amesema kuna makocha wanalialia hovyo kisa majeruhi wa vikosi vyao,maneno hayo aliyasema baada ya ushindi wa timu yake wa goli 1-0 dhidi ya Benfica ya Ureno huku Antonio conte akishindwa kutamba nyumbani dhidi ya Roma ya italia kwani Chelsea walianza uongozi na kushindwa kulinda magoli yao walioyoyapata mapema kipindi cha kwanza cha mchezo huo wa suluhu ya magoli 3-3,chelsea walikuwa nyumbani katika mchezo huo wa jana.

 

Kocha wa Chelsea amemuasa mwezake kunyamaza maneno yake hayo ya shombo hivyo kumuasa aache kuongelea timu yake yake ya chelsea.

 

Chanzo:Sky sport

 

 

mzunguko.com

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon