Madrid Wathibisha Kutomsajili De Gea

June 7, 2017

 

David de Gea hatohamia kwenda klabu bingwa kutoka jiji la Wahispania ijulikanayo kama Real Madrid katika usajili wa kipindi hiki kinachokuja, imethibitishwa.

Habari hiyo imethibitishwa hivi karibuni baada ya wahusika wa usajili kutoka kilabu hicho cha Real Madrid kuwa wameweka Imani yao kwa mlinda mlango wao Keylor Navas na hawatotoa kiasi cha kuwa hawako tayari kutoa kiasi cha millioni 75 cha fedha za Kiingereza (EURO) kama kilabu cha Mancheste United ama mashetani wekundu walivyoweka kuwa ndo bei ya mlinda mlango wao.

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon