November 5, 2019

Uturuki imetangaza habari ya kumtia mbaroni dada ya Abu Bakr al-Baghdadi, kinara wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) aliyejiua katika operesheni ya Marekani hivi karibuni.

Mkurugenzi wa Mawasiliano katika Ofisi ya Rais wa Uturuki, Fahrettin Altun amesema Rasmiya Awad, m...

November 5, 2019

Rais Yoweri Museveni wa Uganda anatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa ana kwa ana baina ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na kinara wa upinzani Riek Machar jijini Kampala.

Kikao hicho cha leo ni cha tatu cha ana kwa ana baina ya mahasimu hao wawili wa kisiasa wa Sudan...

November 5, 2019

Marekani imeanzisha mchakato wa kujiondoa rasmi katika makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015.

Mchakato huo unatazamiwa kukamilika kufikia Novemba 4 mwaka ujao 2020, siku moja baada ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Marekani...

November 1, 2019

Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu machafuko ya kikabila ambayo yanaweza kutokea katika eneo la Fizi jimboni Kivu ya kusini ambako makundi ya wapiganaji wa kikabila yameendesha mashambulizi kwa zaidi ya miezi 6.

Kwenye mkutano na wandishi habari hapa mjini Kinshasa...

November 1, 2019

Ikulu ya Marekani imesema hatua ya Bunge la nchi hiyo kuidhinisha azimio la uchunguzi dhidi ya Rais Donald Trump unaokusudia kumuondoa madarakani haukuzingatia haki na kwamba ni kinyume na katiba.

Akizungumza muda mfupi baada ya azimio hilo kupitishwa, msemaji wa Ikulu...

November 1, 2019

Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi Iraq imetangaza kuwa, haiingilii masuala ya kisiasa nchini humo lakini inaunga mkono matakwa halali ya wananchi kupitia maandamano ya amani.

Taarifa iliyotolewa na harakati hiyo imesisitiza kuwa, Hashdu sh-Sha'abi inaung...

November 1, 2019

Katika kile kinachoonekana kuwa ni uingiliaji wa masuala ya ndani ya Uingereza, Rais Donald Trump wa Marekani amesema, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha Leba, Jeremy Corbyn si chaguo mbadala linalofaa kwa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.

Akizungumza katika mahojiano na...

November 1, 2019

Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe amemuonya balozi wa Marekani mjini Harare, mji mkuu wa nchi hiyo kutokana na matamshi yake ya uingiliaji katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.

Sibusiso Moyo amesema kuwa, iwapo Brian Nichols, balozi wa Marekani mjini Harare ataendelea...

October 31, 2019

Kubadilisha dunia: Uvumbuzi kwa ajili ya maisha bora kwa vizazi vijavyo, kauli mbiu mwaka 2019

Zaidi ya nusu ya idadi ya watu duniani hivi sasa wanaishi mijini na kufikia mwaka 20150 theluthi mbili ya watu watakuwa wanaishi mjini na makazi ya kuendana na ongezeko la wat...

October 31, 2019

Upinzani nchini Sudan Kusini umeishutumu serikali kwa kushindwa kufanikisha mkataba wa amani na kutoa wito wa kuchelewesha kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa kwa kipindi cha miezi sita.

Kulingana na msemaji wa kiongozi wa zamani wa waasi Puok Both Buluang, Riek Machar...

Please reload