Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

November 5, 2019

Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

November 5, 2019

Marekani yaanza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Paris

November 5, 2019

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa Fizi jimbo la Kivu Kusini

November 1, 2019

1/13
Please reload

Umoja wa Mataifa Msumbiji tayari unawasaidia walioathirika na mafuriko yaliyotokana na kimbunga IDAI

Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA , idadi ya vifo vilivivyosababishwa na athari za kimbunga Idai nch...

Mamilioni ya watoto wanaoishi katika nchi zilizoathiriwa na mizozo na majanga wanakosa huduma muhimu za ulinzi na hivyo kuweka usalama na mustakabali wao hatarini, 

limeonya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudmia watoto, UNICEF huku likisema linahitaji ombi la dola bil...

Nusu ya mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince uliharibiwa, watu 220,000 waliripotiwa kupoteza maisha na wengine milioni 1 walipoteza makazi.

Hili lilikuwa pigo la tetemeko la ardhi lililoipiga nchi ya Haiti tarehe 12 mwezi Januari mwaka 2010.

Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa...

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi UNHCR linatoa msaada wa dharura kwa wakimbizi wa Syria walioko nchini Lebanon baada ya mvua kubwa kunyesha katika nchi hiyo.

Wakimbizi wanaonekana katika video wakiwa wamebeba magodoro na mahema, Hiba Fares, afisa haba...

Please reload