Manchester City wanampango wa kumsajili beki wa Leicester raia wa Uingereza Ben Chilwell, 22, mwishoni mwa msimu.
Ben Chilwell
Arsenal wanataka kumsajili beki mkongwe wa Chelsea na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya England Gary Cahill, 33, ili kukabiliana na changam...