Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

November 5, 2019

Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

November 5, 2019

Marekani yaanza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Paris

November 5, 2019

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa Fizi jimbo la Kivu Kusini

November 1, 2019

1/13
Please reload

18-Jul-2019

Serikali ya Marekani imepanga kuwapatia wapinzani wa serikali nchini Venezuela bajeti ya zaidi ya dola milioni 40 kwa ajili ya kuendeshea harakati zao.

Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limeitaarifa Kongresi ya nchi hiyo kwamba itawapatia wapinzani w...

16-Jul-2019

Viongozi na wanasiasa kote duniani wameendelea kumlaani Rais Donald Trump wa Marekani kwa kuwadhalilisha na kuwatukana matusi ya kibaguzi wabunge wanawake wa chama cha Democrat katika Kongresi ya Marekani.

Waziri Mkuu anayeondoka wa Uingereza, Theresa May amesema, "Mata...

11-Jul-2019

Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza imetangaza kuwa balozi wa London mjini Washington Kim Darroch, amejiuzulu kufuatia mzozo wa kushambuliana kwa maneno uliojiri baina yake na Rais Donald Trump wa Marekani.

Wizara hiyo imetangaza kuwa, Trump alikata mawasiliano ya aina...

10-Jul-2019

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani inalisaidia kwa hali na mali genge la kigaidi la MKO lenye historia chafu ya kutenda jinai dhidi ya wananchi na maafisa wa Iran.

Shirika la habari la IRNA limemnukuu Majid...

8-Jul-2019

Balozi Kim Darroch

Serikali ya Uingereza imesema inapanga kuchunguza kuvuja kwa jumbe za siri ambapo balozi wake nchini Marekani ameuita utawala wa rais Donald Trump usio na ujuzi wala stadi za kuongoza.

Msemaji wa wizara ya mambo ya kigeni ya Uingereza amesema uchungu...

5-Jul-2019

Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, mgogoro wa kiusalama Libya huenda ukapanuka zaidi kutokana na wimbi la wananchama wa magenge ya kigaidi ambao wanatorokea nchi hiyo, wakitokea katika mkoa wa Idlib uliko kaskazini magharibi mwa Syria.

Rais Putin alitoa taadhar...

26-Jun-2019

Rais Donald Trump wa Marekani ametoa kauli yake kufuatia kusambaa picha katika vyombo vya habari zinazomuonyesha baba na binti yake wa mwaka mmoja, ambao ni wahajiri wa El Salvador na waliofariki dunia kwa kuzama maji wakijaribu kuingia Marekani ambapo amewatwisha mzig...

3-May-2019

Katika kipindi hiki cha uongozi wa Rais Donald Trump wa Marekani, nchi hiyo imeongeza maradifu juhudi zake za kutaka kuiangusha serikali halali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolas Maduro.

Ili kufikia lengo hilo serikali ya Washington imezidish...

16-Apr-2019

Kundi la wanaharakati nchini Italia limefanya maandamano mbele ya bunge la Umoja wa Ulaya kupinga mwendelezo wa mauaji dhidi ya raia wa Yemen unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudia,

pamoja na washirika wake na pia kimya cha viongozi wa nchi za Magharibi kuhusiana n...

Baada ya kupita miezi sita,serikali ya Marekani imeamua kutekeleza marufuku ya kuingia nchini humo raia 16 wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji, Jamal Khashoggi.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa taarifa kwa vyombo...

Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema nchi yake iko mbioni kupeleka kesi ya mauaji ya mwanahabari mpinzani wa utawala wa Saudia Jammal Khasoggi katika mahakama ya kimataifa.

Katika mahojiano yake na televisheni ya A-Haber, Erdogan amesema serikali yake ina azma y...

Rais Donald Trump anaashiria wafuasi wa itikadi kali wa Dola la Kiislam-IS watapokonywa ardhi yote wanayoidhibiti nchini Iraq na Syria. Matamshi hayo ameyatoa katika mkutano ulioitishwa katika wizara ya mambo ya nje.

Rais Donald Trump amewaambia wawakilishi wa muungano...

Please reload