Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

November 5, 2019

Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

November 5, 2019

Marekani yaanza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Paris

November 5, 2019

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa Fizi jimbo la Kivu Kusini

November 1, 2019

1/13
Please reload

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere  alizaliwa (Butiama, mkoani Mara, pembezoni mwa Ziwa Nyanza, 13 Aprili 1922,

alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania, na mara nyingi anatajwa kama "baba wa taifa" kuliko yeyote yule.

Ndiye mwasisi wa itikadi...

Wangari Maathai akipokea tuzo kutoka Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya.

leo ni kumbukumbu ya Wangari Muta Maathai  aliyezaliwa 1 Aprili 1940, alikuwa mwanaharakati wa masuala ya mazingira na haki za wanawake kutoka nchini Kenya.Mwaka wa 2004 alikuwa mshi...

Evans Wadongo (amezaliwa 11 Machi 1986) ni mhandisi kutoka nchini Kenya, mwenyekiti wa chama kisicho cha serikali "Sustainable Development For All-Kenya (SDFA-Kenya)"

na mvumbuzi wa taa ya solar kwa ajili ya watu wanaoishi mashambani bila umeme.

Alipokuwa...

Alikuwa mwanamuziki kutoka nchi ya Afrika Kusini. Yeye ni mashuhuri hasa kwa kufahamisha muziki wa Afrika nje ya bara lake.

Miriam Makeba alizaliwa tarehe 4 Machi 1932 katika jiji la Johannesburg, Afrika Kusini. Mama yak...

Raila Amolo Odinga  amezaliwa tarehe 7 Januari 1945 ni mwanasiasa wa upinzani nchini Kenya na tangu 13 Aprili 2008 alikuwa waziri mkuu nchini humo hadi 2013. Aliwahi kuwa mbunge tangu 1992 na waziri katika serikali ya rais Mwai Kibaki kati ya 2001 hadi 2...

Ngũgĩ wa Thiong'o (amezaliwa 5 Januari 1938) ni mwandishi Mkenya aliyeandika kwa Kiingereza lakini siku hizi anatumia lugha ya Gikuyu.

Maandishi yake ni pamoja na riwaya, tamthilia, hekaya, insha na uhakiki. Ameanzisha gazeti la lugha ya Gikuyu...

Falsafa ya nyimbo ya Joseph Hill ni ya kimapinduzi na kiroho inayopinga utumwa na ukosefu wa maadili na ucha mungu.

Joseph Hill ni muumini wa imani na utamaduni wa Kirastafari. Katika wimbo wake wa  PAY DAY anauliza ni lini watu walioumizwa na utumwa watalipwa.

Joseph Hi...

Tarehe 18 janury 1849  anazaliwa  sir Edmund Barton, Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia

Sir Edmund Barton  alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia. Yeye ndiye alichukua sehemu kubwa ya kuijenga na kuuiboresha Australia ya leo.

W...

Michelle LaVaughn Obama (jina la kuzaliwa niMichelle LaVaughn Robinson, amezaliwa mnamo tar. 17 Januari 1964) ni Mwanasheria wa Kimarekani na ndiyo mke wa Rais wa Marekani Bw. Barack Obama.

Michelle alizaliwa na kukulia kitongoji South Side ya C...

Dr Martini Luther King,Junior Alizaliwa Tarehe Atlanta,Georgia,15 alikuwa Mkristo mwenye asili ya Afrika.

mchungaji wa Kibaptisti na mwanaharakati mashuhuri kutoka nchi ya Marekani aliyepigania haki za binadamu, hasa Wanegro, wakati nchi hiyo ilipokuwa bado na sheria za...

Harold Shipman  alizaliwa Tarehe 14 Januari 1946 alikuwa daktari na mwuuaji mfululizo wa Kiingereza.

Anafikiriwa kuwa ameua takriban watu 250 ambao wote ni wagonjwa wake.

Matukio yake

Alipelekwa mahakamani na akakutanika kuwa na makosa ya kuua watu wapatao 15, na ba...

Please reload