Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

November 5, 2019

Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

November 5, 2019

Marekani yaanza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Paris

November 5, 2019

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa Fizi jimbo la Kivu Kusini

November 1, 2019

1/13
Please reload

30-Apr-2019

Adolf Hitler ( alizaliwa Braunau, Austria, 20 Aprili 1889;  na  kufariki Berlin, Ujerumani, 30 Aprili 1945) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi kifo chake.

Alihutubia dharau na chuki ya kimbari...

25-Apr-2019

Mswati III (amezaliwa 19 Aprili 1968) ni mfalme wa Uswazi tangu tarehe 25 Aprili 1986.

 tarehe 25  April mwaka 1986.Mswati III wa Uswazi anapewa  Utawala wa Kifalme wa Swaziland.

 www.mzunguko.com

Rhodesia ni jina la kihistoria kwa ajili ya maeneo ya nchi za kisasa Zimbabwe na Zambia wakati wa ukoloni kuanzia 1895.

Tarehe 18,April mwaka 1980 Nchi ya Zimbabwe inapata uhuru kutoka utawala wa walowezi Wazungu na kujiita Zimbabwe.

Jamhuri ya Z...

Afrika Kusini inakumbuka miaka 50 tangu kutokea mauaji ya Sharpeville, yaliyofanya dunia kutambua mateso waliyokuwa wakipata watu weusi enzi za utawala wa ubaguzi wa rangi na kuanzisha harakati za ukombozi.

Watu 69 waliuawa tarehe 21 Machi 1960, wakati polisi walipowapi...

 Tunisia ni nchi ya Afrika ya Kaskazini inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeria.

 Nchi ya Tunisia ilipata uhuru kutoka taifa la  Ufaransa Mnamo  Tarehe 20 machi mwaka  1956.

watu karibu wote 98% wanajiita Waarab...

Gaius Julius Caesar   [ aliuawa tarehe 15 Machi 44 KK] alikuwa kiongozi wa kisiasa na wa kijeshi wa Roma ya Kale.

Anakumbukwa hasa kwa mafanikio mbalimbali yanayoonekana kuathiri dunia hadi leo;

Baadhi ya mafanikio hayo

1.Kama kiongozi wa kijeshi alite...

Uranus ni sayari ya saba kutoka jua letu

Tarehe 13 machi mwaka  1781 William Hersche anagundua Sayari ya Uranus

Uranus Ni sayari kubwa ya tatu ya mfumo wa jua hata kama mada yake ni hasa gesi iliyoganda. Jumla ya masi yake ni mara 14 ya dunia hivyo ni...

Morisi ni kisiwa karibu na Afrika, pia ni nchi inayoitwa rasmi Jamhuri ya Morisi  ni nchi ya visiwa katika Bahari ya Hindi takriban 900 km mashariki kwa Madagaska na 4000 km kusini-magharibi mwa  Bara la  Hindi....

 Mnamo tarehe 21 februari mwaka 1952 Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dhaka (Bangladesh) wanafanya maandamano kwa ajili ya lugha ya Bangla na wengine wao wanauawa na polisi kwa kupigwa risasi

lugha ya Bangla ni lugha ya Asia ya Kusini inayojadiliwa katika Bangladesh na India...

alikuwa  Mwana anga wa zamani John Glenn, ambaye alikuwa Mmarekani wa kwanza kuizunguka dunia kupitia mzingo wa dunia

mnamo  tarehe 20 Februari mwaka 1962 Glenn alizunguka dunia   akiwa na chombo cha anga za juu cha Friendship 7.

Glenn akijiandaa kwa safari yak...

Mlipuko wa bomu la nyuklia la jaribio

Tarehe 13 februari mwaka 1960 kunatokea mlipuko wa  bomu ya nyuklia ya kwanza nchini Ufaransa.

Bomu la nyuklia ni silaha inayosababisha mlipuko mkubwa sana. Kati ya silaha zote, hiyo ni yenye nguvu na pia yenye hatari zaidi....

Chile ni nchi ya Amerika Kusini.Eneo lake ni kama kanda ndefu nyembamba kati ya safu za milima ya Andes na Bahari ya Pasifiki.

 Tarehe 12 February mwaka 1818 Nchile ya chile inatangaza uhuru wake kutoka Hispania.

Wakazi wengi (85%)...

Mwaka 1971 tarehe 2 Februari Idd Amin  Dada anafanya mapinduzi  na kumpindua Miltoni Obote na kuwa Raisi wa Uganda.

Idd Amin Dada Oumee alikuwa   Mwanasiasa  na mkuu wa majeshi nchini Uganda. Alikuwa  Rais wa  Uganda kuanzia mwaka 1971 mpaka 1979. Idd Amini al...

Tarehe 30 Januari 1948 Mahatma Gandhi anauawa na Mhindu mwenye itikadi kali anayechukia jitihada za Ghandi za kutunza umoja wa Uhindi na kutetea haki za Wahindi Waislamu.

Wakili Gandhi mwaka 1906 katika Afrika...

 Dogali, 1887

Dogali katika tambarare ya pwani ya Eritrea takriban 30 km kutoka Massawa ni mahali pa mapigano yaliyotokea tarehe 24 Januari 1887 kati ya wanajeshi wa Italia naEthiopia.

Kikosi cha Waitalia 587 kilielekea kaskazini kutoka Massawa kikash...

Please reload