Marekani yaongoza maambukizi ya COVID-19, China yatangaza ushindi

March 30, 2020

Kenya yazindua mpango wa kupima corona kwa watu wengi

March 30, 2020

Jeshi la Somalia lawaua magaidi 142 wa kundi la Al-Shabab, lakomboa Janale

March 30, 2020

Ndege isiyo na rubani yatunguliwa karibu na makazi ya Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan

March 30, 2020

1/13
Please reload

Utawala wa Aal-Saud umeanzisha wimbi jipya la kuwakamata na kuwazuia raia wa Palestina wanaoishi Saudi Arabia kwa madai ya kuiunga mkono Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).

Shirika la Wafungwa wa Itikadi (Prisoners of Conscience), asasi isiyo ya kise...

5-Nov-2019

Uturuki imetangaza habari ya kumtia mbaroni dada ya Abu Bakr al-Baghdadi, kinara wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) aliyejiua katika operesheni ya Marekani hivi karibuni.

Mkurugenzi wa Mawasiliano katika Ofisi ya Rais wa Uturuki, Fahrettin Altun amesema Rasmiya Awad, m...

Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi Iraq imetangaza kuwa, haiingilii masuala ya kisiasa nchini humo lakini inaunga mkono matakwa halali ya wananchi kupitia maandamano ya amani.

Taarifa iliyotolewa na harakati hiyo imesisitiza kuwa, Hashdu sh-Sha'abi inaung...

31-Oct-2019

Takribani watu 65 wamefariki dunia nchini Pakistan na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea moto mkubwa ndani ya treni moja ya abiria asubuhi ya leo.

Baadhi ya abiria wamepoteza maisha yao walipokuwa wakiruka katika treni hiyo kujaribu kuokoa maisha yao baada ya...

30-Oct-2019

Waziri Mkuu wa Lebanon amejiuzulu Jumanne kufuatia maandamano ya nchini kote ya zaidi ya wiki mbili ya kuipinga serikali. Waandamanaji wamesema hatua hiyo haitoshi. Wanataka mabadiliko ya mfumo mzima wa kisiasa.

Tangazo la kujiuzulu Hariri kupitia televisheni, lilipokel...

8-Jul-2019

Jeshi la Yemen na kamati za kujitolea za wananchi wa nchi hiyo zimeonesha silaha zao mpya za kukabiliana na wavamizi wa nchi yao, Saudi Arabia, Imarati na wavamizi wengine. Sherehe hizo zimehudhuriwa na Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen, Mahdi al Mashat.

Televishen...

26-Jun-2019

Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi NATO umetangaza habari ya kuuawa askari magaidi wawili wa Marekani nchini Afghanistan leo Jumatano.

Kamati ya uongozi wa majeshi ya Marekani na shirika la kijeshi la NATO imetoa taarifa ya kuthibitisha kuuawa askari wawili wa Mar...

4-May-2019

Kwa mara nyingine tovuti ya habari za michezo ya Saudi Sport imesema kuwa, nia ya Mohammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ya kuinunua klabu ya Manchester United ya nchini Uingrereza iko katika hatua zake za mwisho.

Itakukmbukwa kuwa, suala hilo li...

30-Apr-2019

Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limesambaza mkanda wa video unaodai kumuonyesha kwa mara ya kwanza, baada ya kupita miaka mitano, kiongoza wa kundi hilo Ibrahim as-Samarrai, mashuhuri kama Abubakr al-Baghdadi.

Kundi hilo lilisambaza mkanda huo wa dakika 18 kupiti...

23-Apr-2019

Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limekosoa vikali kitendo cha utawala wa Aal-Saud cha kutekeleza hukumu ya kuwanyonga makumi ya Waislamu wa Kishia nchini Saudi Arabia, likisisitiza kuwa utawala huo wa kifalme hauheshimu thamani ya utu.

Mkurugenz...

Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, moja ya sababu kuu za ukosefu wa amani Mashariki ya Kati ni siasa mbovu za Marekani za kuingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili.

Bashar al Assad alisema hayo jana wakati alipoonana na Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mam...

Serikali ya Pakistan imetuma mawaziri wawili kwenda jimbo la Balochistan kwa ajili ya kuonyesha mshikamano na familia za wahanga wa shambulizi la kigaidi la siku ya Ijumaa iliyopita ambalo lilitekelezwa na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika soko la matunda la mji...

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, serikali ya Marekani na majeshi ya nchi hiyo ni nembo ya ugaidi wa kimataifa, kijeshi na kiuchumi.

Jana Jumatatu, rais wa Marekani, Donald Trump alitangaza kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Ki...

Kundi la Taleban limeanzisha operesheni ya mashambulizi makali dhidi ya ngome za genge la kigaidi la Daesh (ISIS) mashariki mwa Afghanistan.

Taleban imeanzisha operesheni hiyo ya kuwasambaratisha wanachama wa kundi hilo linaloungwa mkono na Marekani, baada ya kusimamia...

Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Watoto la Save The Children limeeleza kusikitishwa kwake na shambulizi la anga la muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia, lililoua watoto wanne wakiwa hospitalini nchini Yemen.

Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Hell...

Please reload