Mfanyabiashara wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay jijini Dar es Salaam Tanzania, amepatikana akiwa salama mjini Mombasa nchini Kenya.
Ongangi anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana tarehe 24 mwezi jana akiwa pamo...