Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

November 5, 2019

Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

November 5, 2019

Marekani yaanza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Paris

November 5, 2019

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa Fizi jimbo la Kivu Kusini

November 1, 2019

1/13
Please reload

Eratosphenes wa Kirene  alikuwa mtaalamu wa hisabati,Jioggrafia,historia na lugha tena mkurugenzi wa maktaba ya Aleksandria katika Misri.

Anakumbukwa hasa kama mtu wa kwanza aliyekadiria mzingo wa dunia. Anasemekana aliibuni neno "jiografia...

 Boma la Oudaias lilikuwa makao makuu ya maharamia wa Bou Regreg.

Jamhuri ya Bou Regreg (pia Jamhuri ya Sale) ilikuwa dola dogo katika eneo la miji Rabat na Sale, mdomoni mwa mto Bou Regreg, lililoanzishwa mwaka 1627.

Eneo la mdomo wa mto Bou Reg...

 Hati ya Kisumeri inayoonyesha mapatano ya kuuza nyumba na shamba. Maandishi ni mwandiko wa kikabari.

Sumeri ilikuwa kati ya tamaduni za juu za kwanza katika Asia ya Magharibi na hasa Mesopotamia (Iraq ya leo). Labda ulikuwa utama...

Roketi ya V-2 iliyohifadhiwa kwenye eneo la makumbusho ya Peenemünde, Ujerumani.

V-2 (kifupi cha Kijerumani Vergeltungswaffe 2, yaani "silaha ya kulipiza kisasi namba mbili").

ilikuwa roketi ya kijeshi ya Ujerumani wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ilikuwa...

Louvre ni jumba la maonyesho la mjini ParisUfaransa, ambalo linavutia mamilioni ya wageni wanaodhuru hapo kwa sababu ya mkusanyiko wa sanaa zilizojaa katika jumba hilo.

 Kiasili Louvre ilikuwa jumba la wafalme wa Ufaransa katika mji wa Paris

Tangu uhamisho wa mfalme Lo...

Biko alikuwa kiongozi wa wanafunzi, baadae akaanzisha vuguvugu la Black Consciouness Movement (Harakati za kujitambua kwa watu weusi).

Vuguvugu hili lilipata nguvu sana na kuenea karibuni katika miji mingi yenye idadi kubwa ya watu weusi.

Mauti yalimfikia baada ya kutiwa...

Uso wa mashariki wa Parthenon

Parthenon ni hekalu kwenye Akropolis mjini Athens iliyojengwa wakati wa Ugiriki ya Kale. Ni kati ya majengo mashuhuri duniani na kielelezo cha  sanaa na usanifu wa Ugiriki ya Kale

Parthe...

Lalibela ni mji unaopatikana kaskazini mwa Ethiopia. Ni mmoja kati ya miji mitakatifu nchini humo.

 Kanisa la St George katika mji wa Lalibela

Mji huu ni wa pili kwa utakatifu ukifuatia ule wa Aksum, na pia ni patakatifu kwa ajili ya ku...

Alikataa kuua wanyama kwa sababu aliona roho ndani ya wanyama pia, hivyo wanafunzi wake nao hawakula nyama.

Pythagoras alikuwa mtaalamu wa falsafa na hisabati wakati wa ustaarabu wa Ugiriki ya Kale.

Pythagorasi alian...

Karl Marx  alikuwa mwanafalsafa kutoka nchini Ujerumani ambaye pamoja na Friedrich Engels alianzisha siasa ya ukomunisti.

Baada ya kuhamia Brussels katika Ubelgiji alitunga pamoja na Engels kijitabu cha Ma...

Noam Chomsky  ni mtaalamu wa isimu (sayansi inayochunguza lugha) nchini Marekani.

Tangu 1955 amekuwa profesa kwenye chuo cha Massachusetts Institute of Technology (MIT).

Sarufi

Sarufi ni elimu ya kupanga maneno kwa ufasaha. Maelezo hayo...

Kasumba ya tikitimaji ni mtazamo wa kikasumba ambao watu weupe wa Marekani wa wakati huo walikuwa wanaamini ya kwamba watu weusi  wanahitaji tikitimaji na mapumziko kidogo basi hiyo ni furaha yao tosha kabisa.

Kasumba ilidumishwa kiasi kwamba Wa...

Transkei ilikuwa Bantustan ya kwanza ya Afrika kusini iliyotangazwa kuwa nchi ya pekee wakati wa siasa ya Apartheid [ubaguzi wa rangi wa kisheria]

 Bendera ya Transkei (bantustan)

Bantustan

Bantustan ilikuwa jina la eneo maalumu katika Afrika Kusini wakati wa siasa ya Apa...

Ngugi wa Thiongo amezaliwa tarehe 5 januari 1938 ni mwandishi mkenya aliyeandika kazi zake kwa lugha ya kiingerza

lakini siku hizi anatumia lugha ya Gikukuyu

Maandishi yake ni pamoja na riwaya,tamthilia,hekaya,insha na uhakiki.

Ameanzisha gazeti la lugha ya Gikuyu M...

kadiri ya saikolojia hisia zinaweza  kuwa za pendo,hamu,furaha au kinyume chake mfano hisia za chuki, woga, hasira, huzuni na nyingine nyingi.

Hisia zinaitwa pia maono

Maono  ni hali inayompata binadamu au mnyama kwa ndani, lakini inajitokeza kwa nje (...

Please reload