Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

November 5, 2019

Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

November 5, 2019

Marekani yaanza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Paris

November 5, 2019

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa Fizi jimbo la Kivu Kusini

November 1, 2019

1/13
Please reload

Sean John Combs (amezaliwa 4 Novemba 1969), anajulikana kwa jina lake la kisanii Diddy, ni Mmarekani mtayarishaji wa rekodi, rapa(mwimbaji), mwigizaji, mtengenezaji wa nguo za kiume, mjasiriamali na mchezaji ngoma shupavu.

P. Diddy

alishinda tuzo ya G...

Panther ni jina la  albamu ya kibwagizo cha filamu ya mwaka wa 1995, Panther. Ilitolewa mnamo tarehe 2 Mei, 1995 kupitia Mercury Records na huhesabiwa kama mchanganyiko wa muziki wa hip hop na R&B.

huku matayarisho yake yakifanywa na baadhi ya majina makubwa y...

The Proposal ni filamu ya kuchekesha iliyotolewa 2009, iliyoongozwa na Anne Fletcher na kuigizwa na Sandra Bullockna Ryan Reynolds. Filamu hii ilitungwa na Pete Chiarelli

www.mzunguko.com

The Proposal ni filamu ya kuchekesha iliyotolewa 2009, iliyoongozwa na Anne Fletcher na kuigizwa na Sandra Bullock na Ryan Reynolds.

Filamu hii ilitungwa na Pete Chiarelli.

Simulizi ya filamu [The proposal]

Margaret Tate ni mhariri mkuu wa kampuni ya kuchapisha vitabu in...

Above the Rim: The Sound Track ni kibwagizo rasmi kwa ajili ya filamu iliyotoka 1994 yenye jina sawa na kibwagizo.

Kibwagizo hiki kilitolewa na Death Row na Interscope Records mnamo Machi 22, 1994, hasa ilitayarishwa na Suge Knight. Dr. Dre alikuwa kama matay...

Kundi limetoa albamu tatuSpice mnamo mwaka wa 1996, Spice World mnamo mwaka wa 1997 na Forever mnamo mwaka wa 2000.

The Spice Girls pia wamecheza kwenye filamu ya Spiceworld: The Movie, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Desemba katika mwaka wa...

Spice Girls ni kundi maarufu la muziki wa pop kutoka nchini Uingereza. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1994. Moja kati ya vibao vyao vikali ni pamoja na "Wannabe", "Spice Up Your Life" na "Stop"

Kundi zima linaundwa na mwanachama kama: Victoria Bec...

One Hundred and One Dalmatians (Kiswahili: Mijibwa Mia Moja na Moja) ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1961 

-iliotayarishwa na Walt Disney na inatokana na kitabu cha Dodie Smith chenye jina sawa na hili la filamu hii.

Hii ni filamu ya kumi na sab...

 Maana ya  neno Sabata "Hoya washkaji... huyo ni Sabata, mmekwisha!"ni filamu ya Spaghetti Western

Spaghetti Westerns  ni  aina ya filamu za Western zilizotolewa na studio za kiitalia kuanzia miaka ya 1960.

Awali lilikuwa jina...

Sabata (kwa Kitaliano: Ehi amico .. kwa haraka-haraka inatafsrika kama "Hoya washkaji... huyo ni Sabata, mmekwisha!"), ni filamu ya Spaghetti Western iliyotolewa mnamo 1969.

Filamu iliongozwa na Gianfranco Parolini. Ni toleo la kwanza la Mfululizo wa...

Alvin and the Chipmunks ni filamu ya vichekesho-muziki ya mwaka wa 2007 kutoka nchini Marekani.

Filamu inachanganya wahusika, live-action, yaani, wahusika binadamu na CGI, yaani, vikatuni.

Filamu ipo katika kipindi cha msimu wa siku-kuu za mwishoni mwa mwaka.

Filamu...

Alvin and the Chipmunks ni filamu ya vichekesho-muziki ya mwaka wa 2007 kutoka nchini Marekani.

Filamu inachanganya wahusika, live-action, yaani, wahusika binadamu na CGI, yaani, vikatuni. Filamu ipo katika kipindi cha msimu wa siku-kuu za mwishoni mwa mwaka.

...

Filamu  inazungumzia kundi la watu  wanaoenda kukodi wataalamu  wa kupambana kwa kutumia silaha kwa lengo la kuwalinda wana kijiji wa Kimexiko dhidi ya maharamia.

www.mzunguko.com

Magnificent Seven ni filamu ya mwaka 1960 Ni moja kati ya filamu za western iliyoongozwa na mwongozaji wa filamu bwana John Sturges​ 

Filamu  inazungumzia kundi la watu  wanaoenda kukodi wataalamu  wa kupambana kwa kutumia silaha kwa lengo la kuwalinda wa...

12-Nov-2018

Charlie Chaplin (16 Aprili 1889 – 25 Desemba 1977) alikuwa mwigizaji na mtayarishaji filamu maarufu wa Kiingereza. Alikuwa maarufu sana katika kucheza filamu au vichekesho vya kimya-kimya (ambapo zilikukuwa hamna kuongea wala sauti). Aliigiza, aliongoza, alizipanga scr...

Please reload