Wananchi DRC hawaamini kuwa Ebola imeibuka tena- WHO

April 17, 2020

Chuki na unyanyapaa vimeongezeka wakati huu wa COVID-19:Achiume

April 17, 2020

Marekani yakataa kuwasilisha ushahidi wa kuhusika Saudia katika tukio la Septemba 11 kwa familia za wahanga

April 17, 2020

Kwa mara ya kwanza duniani, Iran yavumbua kifaa cha kugundua kilipo kirusi cha corona katika masafa ya mita 100 + Video

April 17, 2020

1/13
Please reload

Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi vimesambaratisha operesheni tatu mtawalia zilizofanywa na askari wa vikosi vamizi vya Saudi Arabia kwa lengo la kusonga mbele kuelekea ngome zao magharibi mwa eneo la Majazah mkoani Asir kusini mwa nchi...

Watoto zaidi ya 3000 wameachiliwa na makundi yenye silaha Sudan Kusini:UNICEF.

Maisha ya watoto wengine 119 yamenusurika leo baada ya kuachiliwa na makundi yenye silaha nchini Sudan Kusini na hivyo kufanya idadi ya watoto walioachiliwa tangu kuanza kwa mzozo nchini humo...

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuangamiza wanachama wanne wa kundi la kigaidi la ADF, mashariki mwa nchi.

Kapteni Mak Hazukay, msemaji wa jeshi la Kongo DR katika mkoa wa Kivu Kaskazini amesema operesheni ya kuwaangamiza wanamgambo hao w...

Watu wasiopungua 14 wameaga dunia katika mkanyagano uliotokea katika mkutano wa kisiasa kusini mwa Nigeria.

Mashuhuda wanasema mkanyangano huo ulitokea jana Jumanne katika mkutano wa kampeni za uchaguzi za chama tawala cha Rais Muhammadu Buhari wa nchi hiyo, katika mji...

Uharibifu mkubwa uliofanyika Iraq mji wa Mosul ambako watu walipoteza maisha mikononi mwa kundi hilo.

Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kukabiliana na ugaidi, Vladmir Voronkov amesema kuwa  mtandao wa magaidi wa ISIL unaendelea kuendesha operesheni zake kisiri huko m...

 Walinda amani wa UNMISS wakishika doria katika barabra karibu na Bentiu, jimbo la Unity, Sudan Kusini.

Walinda amani Sudan Kusini wasindikiza wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani wakati wa mitihani.

Polisi waliopo kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusi...

Kufuatia kutangazwa kwa matokeo ya  uchaguzi wa urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambapo Felix Tshisekedi ameibuka mshindi, Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa amepongeza wananchi wa DRC na Tume ya huru ya taifa ya uchaguzi kwa mwenendo mzima wa uchag...

Zaidi ya raia 40 wameripotiwa kuuawa wiki hii wakati wa mapigano ya kikabila kaskazini mwa Burkina Faso.

hali ambayo imesababisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kutoa taarifa kulaani ghasia hizo sambamba na kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama kwenye...

Mwaka 2018 ukifikia  ukingoni, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limetoa tathmini ya hali ya watoto mwaka huu hususan kwenye nchi zenye mizozo na kusema ilikuwa ni mbaya kiasi cha kuweka mashakani mustakabali wao.

 Mkurugenzi wa UNICEF  anayehusika...

Please reload