Marekani yaongoza maambukizi ya COVID-19, China yatangaza ushindi

March 30, 2020

Kenya yazindua mpango wa kupima corona kwa watu wengi

March 30, 2020

Jeshi la Somalia lawaua magaidi 142 wa kundi la Al-Shabab, lakomboa Janale

March 30, 2020

Ndege isiyo na rubani yatunguliwa karibu na makazi ya Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan

March 30, 2020

1/13
Please reload

28-Mar-2020

Mkuu wa Taasisi ya Hospitali nchini Uingereza ametahadharisha kuwa hospitali nchini humo zinakabiliwa na hali ngumu kutokana na kuongezeka watu walioambukizwa virusi vya corona.

Chris Hopson ametahadharisha kuwa hospitali nchini Uingereza zinalemewa na utendaji kazi kut...

27-Mar-2020

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa miongoni mwa washiriki wa mkutano wa G-20 kwa njia ya video

Katika mkutano huo ambao ulijikita na COVID-19 Guterres ametoa wito akisistiza kwamba “Hatua za pamoja za kimataifa zinahitajika ili kuweza kushinda vita dhidi ya virusi vya Coro...

26-Mar-2020

Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa itawaachia huru maelfu ya wafungwa, ili kuzuia kuenea kwa kasi kirusi hatari cha corona nchini humo.

Adanech Abebe, Mwanasheria Mkuu wa Ethiopia amesema serikali itawaachia huru wafungwa zaidi ya elfu nne, aghalabu yao wakiwa wale wa...

26-Mar-2020

Meli Amity ikiwa imetia nanga katika bandari ya Hudeidah Yemen. bandari hiyo ndiyo msaada karibu wote kwa yemen hupitia.

Wakati nchi duniani zinaendelea kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19, Umoja wa Mataifa umesema sekta ya usafirishaji majini...

26-Mar-2020

Gazeti la The Guardian limefichua kuwa, licha ya lugha ya mbwembwe na majigambo anayotumia Rais Donald Trump wa Marekani kwamba nchi yake haitahitaji msaada wa mataifa ya kigeni, serikali ya Washington imeomba msaada kwa waitifaki wake wa Ulaya na Asia kwa ajili ya kuk...

Wakati wa kuchukua hatua ili kutokomeza ukeketaji  au FGM, ifikapo mwaka 2030 ni sasa . 

Wito huo wa pamoja umetolewa leo ikiadhimishwa siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji na wakuu  wa mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la idadi ya watu UNFPA, Dkt. Natalia Kanem...

Wahamiaji na wakimbizi wanaokwenda barani Ulaya wako hatarini zaidi kupata magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza kuliko wenyeji wa nchi ambako wanafikia.

Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya kwanza kabisa iliyotolewa  na shirika la afya ulimwenguni, WHO kanda ya Ula...

Mhudumu wa afya anayehusika na ebola akimchunguza ugonjwa huo mtoto mchanga mwenye umri wa wiki moja kwenye hema maalum la kituo cha matibabu dhidi ya ebola huko Beni jimbo la Kivu Kaskazini nchini DRC Desemba 3, 2018.

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC madakt...

Nchini  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mlipuko wa mwaka  jana wa ebola kwenye majimbo ya Equateur na Kivu Kaskazini yameacha takribani watoto 400 yatima au kutengwa na familia zao na hivi sasa manusura wa ugonjwa huo wamechukua hatua ya kuwalea.

Katika kituo kim...

Shirika la kazi duniani, ILO limechukua hatua kusaidia wakulima wa zao la tangawizi nchini Myanmar ambao wamekuwa wakiathirika kiafya kutokana na kilimo cha zao hilo.

Katika jimbo la Shan nchini Myanmar barani Asia, zao la tangawizi linawakilisha njia muhimu ya maisha k...

Saleh, mtoto mwenye umri wa miezi minne, akiwa amelazwa katika hospitali kuu ya Hudaidah na mama yake Nora.

Takribani watoto 500,000 nchini Yemen na wanawake wazazi milioni 2 wako hatarini kufariki dunia kutokana na unyafuzi.

Mzozo nchini Yemen ukiwa umedumu kwa miaka m...

20-Nov-2018

Wengi wetu huwa tunahangaika kuamka asubuhi wakati mwingine

Wengi hudhani kuwa walikuwa na usingizi mzuri wakati kengele inapoita na kufikiri kwamba wanaweza kulala dakika tano zaidi.

Tatizo la kushindwa kuamka asubuhi na kuwa na usingizi kila mara wakati wa mchana.

Ugonj...

Please reload