Marekani yaongoza maambukizi ya COVID-19, China yatangaza ushindi

March 30, 2020

Kenya yazindua mpango wa kupima corona kwa watu wengi

March 30, 2020

Jeshi la Somalia lawaua magaidi 142 wa kundi la Al-Shabab, lakomboa Janale

March 30, 2020

Ndege isiyo na rubani yatunguliwa karibu na makazi ya Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan

March 30, 2020

1/13
Please reload

25-Mar-2020

Rais Museveni

Nchini Uganda serikali imeimarisha juhudi za kudhibiti virusi vya Corona COVID-19 baada ya kuthibitishwa kwa wagonjwa wapya wanane katika nchi hiyo na kuwaacha wananchi wakiwa katika hali ya taharuki. Miongoni mwa hatua mpya zilizochukuliwa sasa ni uamuzi...

24-Mar-2020

Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imetangaza habari ya kuuawa watu 6 katika mashambulizi ya roketi ya kundi la wanamgambo linalojiita jeshi la kitaifa la Libya linaloongozwa na Jenerali muasi Khalifa Haftar jana Jumatatu viungani mwa mjini mkuu Tripoli.

Amin al...

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kuitembelea Uganda karibuni ili kushiriki Kongamano la Kusini.

Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda imethibitisha habari hiyo na kusisitiza kuwa, Rais Rouhani atashiriki katika mkutano huo unaotazamiw...

30-Oct-2019

Maafisa wa serikali ya Burkina Faso wametangaza kuwa, watu 16 wameuawa katika kile kinachosadikika kuwa ni shambulizi la kigaidi kaskazini mwa nchi.

Duru za kiusalama zimeripoti kuwa, watu waliobeba silaha jana Jumatatu waliwashambulia wanakijiji katika eneo la Pobe-Men...

Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Algeria ambao wameonyesha kuwa na dhamira ya kuongoza maandamano makubwa zaidi dhidi ya serikali kuwahi kushuhudiwa nchini humo kwa miaka kadhaa sasa,

jana waligoma kuingia madarasani ili kuonyesha upinzani wao kwa pendekezo la Rais Abdel...

Polisi ya Kenya imemwita kumsaili kwa mara ya pili Waziri wa Fedha wa nchi hiyo Henry Rotich kuhusiana na kashfa ya mamilioni ya dola ya kutanguliza malipo kwa ajili ya miradi ya ujenzi wa mabwawa mawili.

Mkuu wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) George Kinoti...

Chama cha Wafanyakazi nchini Algeria kimetangaza kuwa hakitashiriki katika uchaguzi wa urais unaotazamiwa kufanyika Aprili 18 mwaka huu

Hayo yalisemwa jana Jumamosi na Louisa Hanoune, Katibu Mkuu wa chama hicho, baada ya kufanyika mkutano usio wa kawaida wa Kamati Kuu y...

Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeuteka mji mmoja wa kistratajia ulioko kusini magharibi mwa Somalia, baada ya jeshi la Kenya KDF kuwaondoa wanajeshi wake waliokuwa wanaudhibiti mji huo

Duru za kiusalama zimeripoti kuwa, genge hilo la kigaidi liliuteka mji...

Kituo cha kutibu Ebola huko Butembo, jimbo la Kivu Kaskazini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kimehujumiwa na watu wasiojulikana.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Alhamisi  na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF ambalo li...

Tume ya Uchaguzi Nigeria imetangaza kuwa Rais Muhammad Buhari anaongoza kwa kura 280,000 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Nigeria (INEC) ametangaza kuwa, Rais Buhari mwenye umri wa miaka 76,...

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliwaua watu 27 katika operesheni dhidi ya magenge ya uhalifu katika mji mkuu Kinshasa, mwaka jana

Ripoti iliyotolewa jana  na shirika hilo imesema kuwa, ba...

Raia wasiopungua 14 wameuawa nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram.

Hayo yameelezwa na maafisa wa serikali ya Nigeria ambao wamebainisha kuwa, shambulio hilo la wanamgambo wa Boko Haram limetekelezwa katika e...

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma salama za rambirambi na kutoa mkono wa pole kwa serikali, wananchi na familia za wahanga wa ajali ya mgodini huko Zimbabwe.

Bahram Qassemi amebainisha kusikitishwa na ajali hiyo iliyotokea katika mgodi wa madini ya dhaha...

Algeria imeimarisha hatua za kiusalama nchini humo katika kukaribia kufanyika uchaguzi wa rais

Askari usalama na vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo wamesambazwa kwa wingi katika maeneo ya kuingia na kutoka katika mji mkuu wa Algeria Algiers.

Taarifa zinasema kuwa hatua hiz...

Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria imeahairisha kwa wiki moja uchaguzi mkuu uliotazamiwa kufanyika hii leo.

Mahmood Yakubu, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Nigeria INEC ametoa tangazo hilo la ghafla masaa machache kabla ya wananchi wa Nigeria kuelekea katika masanduku...

Please reload