Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

November 5, 2019

Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

November 5, 2019

Marekani yaanza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Paris

November 5, 2019

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa Fizi jimbo la Kivu Kusini

November 1, 2019

1/13
Please reload

Marekani imeanzisha mchakato wa kujiondoa rasmi katika makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015.

Mchakato huo unatazamiwa kukamilika kufikia Novemba 4 mwaka ujao 2020, siku moja baada ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Marekani...

Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu machafuko ya kikabila ambayo yanaweza kutokea katika eneo la Fizi jimboni Kivu ya kusini ambako makundi ya wapiganaji wa kikabila yameendesha mashambulizi kwa zaidi ya miezi 6.

Kwenye mkutano na wandishi habari hapa mjini Kinshasa...

Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi Iraq imetangaza kuwa, haiingilii masuala ya kisiasa nchini humo lakini inaunga mkono matakwa halali ya wananchi kupitia maandamano ya amani.

Taarifa iliyotolewa na harakati hiyo imesisitiza kuwa, Hashdu sh-Sha'abi inaung...

Katika kile kinachoonekana kuwa ni uingiliaji wa masuala ya ndani ya Uingereza, Rais Donald Trump wa Marekani amesema, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha Leba, Jeremy Corbyn si chaguo mbadala linalofaa kwa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.

Akizungumza katika mahojiano na...

Kubadilisha dunia: Uvumbuzi kwa ajili ya maisha bora kwa vizazi vijavyo, kauli mbiu mwaka 2019

Zaidi ya nusu ya idadi ya watu duniani hivi sasa wanaishi mijini na kufikia mwaka 20150 theluthi mbili ya watu watakuwa wanaishi mjini na makazi ya kuendana na ongezeko la wat...

Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, wanajeshi 12 wa nchi hiyo wameuawa baada ya kambi yao kushambuliwa na kundi la kigaidi la Boko Haram kusini mashariki mwa nchi hiyo.

Taarifa ya Wizara ya Ulinzi ya Niger imesema kuwa, shambulio hilo lilitekelezwa jana na watu w...

Please reload