Wananchi DRC hawaamini kuwa Ebola imeibuka tena- WHO

April 17, 2020

Chuki na unyanyapaa vimeongezeka wakati huu wa COVID-19:Achiume

April 17, 2020

Marekani yakataa kuwasilisha ushahidi wa kuhusika Saudia katika tukio la Septemba 11 kwa familia za wahanga

April 17, 2020

Kwa mara ya kwanza duniani, Iran yavumbua kifaa cha kugundua kilipo kirusi cha corona katika masafa ya mita 100 + Video

April 17, 2020

1/13
Please reload

 Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanaendelea kusubiri kwa hamu na shauku kubwa uteuzi wa Waziri Mkuu mpya, miezi kadhaa baada ya Felix Tshisekedi kuchukua mikoba ya Joseph kabila kwenye uongozi wa nchi.

Wawili hao walikutana jana Jumatatu na kuzungumzia kuh...

Idadi ya watu waliopoteza maisha katika hujuma za kigaidi nchini Sri Lanka inakaribia 300 huku wakuu wa usalama nchini humo wakitangaza kuwa wamewakamata washukiwa 24.

Kwa mujibu wa taarifa, hadi sasa watu 290 wamethibitishwa kupoteza maisha katika hujuma hizo ambazo zi...

Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar amesema hayuko tayari kurejea nchini mwake kwa sasa, huku akitoa mwito wa kuahirishwa mchakato wa kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

Puot Kang Chol, msemaji wa chama cha SPL...

Bunge la Ulaya limepitisha  sheria ambayo itapelekea mashirika ya Facebook, Google na Twitter kushitakiwa na kuchukuliwa hatua za kisheria iwapo yataruhusu uchochezi wa kigaidi na misimamo mikali kubakia kwenye mitandao ya mashirika hayo.

Shirika la habari la Reute...

 Televisheni ya CNN ya nchini Marekani imesema kuwa serikali ya nchi hiyo ndiye mnunuzi mkubwa wa mihadarati na madawa ya kulevya yanayotoka eneo la Caribbean na Colombia.

Katika ripoti yake, televisheni hiyo imesema kuwa, serikali ya Marekani ni mnunuzi wa kiwango kiku...

Rhodesia ni jina la kihistoria kwa ajili ya maeneo ya nchi za kisasa Zimbabwe na Zambia wakati wa ukoloni kuanzia 1895.

Tarehe 18,April mwaka 1980 Nchi ya Zimbabwe inapata uhuru kutoka utawala wa walowezi Wazungu na kujiita Zimbabwe.

Jamhuri ya Z...

watu 16 wameuawa huku wengine 14 kujeruhiwa katika shambulizi la kuvizia lililofanywa na watu waliojizatiti kwa silaha katika eneo la Nasarawa magharibi mwa Nigeria

Msemaji wa Polisi wa Jimbo la Nasarawa, Umar Shehu Nadada, amewaambia waandishi wa habari kuwa, watu wasi...

Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, moja ya sababu kuu za ukosefu wa amani Mashariki ya Kati ni siasa mbovu za Marekani za kuingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili.

Bashar al Assad alisema hayo jana wakati alipoonana na Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mam...

Rais Emmanuel Macron ameahidi kulijenga upya kanisa kuu katoliki la Notre Dame mjini Paris ambalo jana jioni lilishika moto ulio unguza sehemu ya jengo.

Rais Macron ameeleza kuwa sehemu kubwa ya jengo haikushika moto ambao wakati mmoja ulitishia kuteketeza jengo zima na...

Serikali ya Pakistan imetuma mawaziri wawili kwenda jimbo la Balochistan kwa ajili ya kuonyesha mshikamano na familia za wahanga wa shambulizi la kigaidi la siku ya Ijumaa iliyopita ambalo lilitekelezwa na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika soko la matunda la mji...

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere  alizaliwa (Butiama, mkoani Mara, pembezoni mwa Ziwa Nyanza, 13 Aprili 1922,

alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania, na mara nyingi anatajwa kama "baba wa taifa" kuliko yeyote yule.

Ndiye mwasisi wa itikadi...

Wapinzani nchini Sudan wamesema kuna  mpango wa kuzivuruga harakati zao.

Chama cha watalaamu kinachoongoza maandamano kimetoa wito kwa wananchi kujiunga na kampeni hiyo mbele ili kuyalinda mapinduzi ya wananchi.

Chama hicho kimetoa wito huo kwenye mtandao wake wa k...

 Maandamano yameshuhudiwa nje ya ubalozi wa Ecuador mjini London baada ya polisi ya Uingereza kumtia mbaroni mwasisi wa mtandao unaofichua fedheha nyingi za nchi na viongozi mbalimbali duniani wa WikiLeaks, Julian Assange, ambaye amekuwa akiishi ubalozini hapo tokea mw...

Serikali ya Russia imekosoa vikali kitendo cha kutiwa mbaroni mjini London, Uingereza mwasisi wa mtandao unaojishughulisha na kufichua siri na kashfa wa WikiLeaks.

Dakika chache baada ya kusambaa habari ya kutiwa mbaroni na polisi wa Uingereza Julian Assange, mwasisi wa...

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo, amemtaja Kim Jong-un, kiongozi wa Korea Kaskazini kuwa ni mtu muovu, licha ya kwamba rais wa Marekani, Donald Trump alimtaja kiongozi huyo kijana kuwa ni rafiki yake.

Pompeo ameyasema hayo wakati akijibu swali aliloulizwa...

Please reload