Marekani yaongoza maambukizi ya COVID-19, China yatangaza ushindi

March 30, 2020

Kenya yazindua mpango wa kupima corona kwa watu wengi

March 30, 2020

Jeshi la Somalia lawaua magaidi 142 wa kundi la Al-Shabab, lakomboa Janale

March 30, 2020

Ndege isiyo na rubani yatunguliwa karibu na makazi ya Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan

March 30, 2020

1/13
Please reload

Baada ya kuchekwa sana kwa kutojua kiingereza, msanii wa Bongo Flava Shilole aingia kwenye mkataba na shirika la uingereza British Council Tanzania ili kujifunza lugha hiyo.

Mbali ya muziki, msaani huyo anajulikana sana kwa kuwa na hamasa ya kuongea kiingereza bila kuja...

Leo June 8, 2018 Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) nchini Uholanzi imemuondolea makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu yaliyokuwa yanamkabili aliyekuwa Makamu wa Rais wa zamani wa DRC Jean Pierre Bemba.

Bemba alipatikana na hatia March, 2016 kwa m...

Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer wake Steve aliekua akifanya kazi na Msanii huyo kuthibitisha kuwa Sam wa Ukweli alikuwa akiumwa UKIMWI wa kulogwa..

..>>> “...

Staa wa muziki bongo anaejulikana kwa jina la AMBER LULU katika stori zilizokiki ndani ya wiki hii ni kwamba zimekutwa video pamoja na picha katika mtandao wa kijamii (INSTAGRAM) akiwa na NUH MZIWANDA wakifanya yao kitu ambacho kimewafanya mpaka watu wameshindwa kuelew...

Leo May 26, 2018 Taarifa iliyotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma, Kasuku Samson Bilago (CHADEMA) amefariki dunia mchana huu katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibi...

Mchekeshaji Idris Sultan amezua hii jingine kupitia ukuarasa wake wa instagram baada ya kum-post Shilole “Shishi baby” na kuandika caption ambayo imezua gumzo kwa mashabiki kutokana na comments zilizoandikwa kupitia picha hiyo.

Idris Sultan aliandika “Ana nyumba, ana bi...

 Leo May 23, 2018 Katika kijiji cha Kaida, Gwagwalada katika jimbo la Abuja nchini Nigeria, wanawanyonga watoto mapacha siku ya tatu tu baada ya kuzaliwa kwa kile wanachoamini kuwa watoto mapacha ni mashetani hivyo inabidi wauawe kwa kunyongwa.

Taarifa hizo zimekuj...

Hofu imetanda mjini Jinja baada ya vipeperushi vilivyo na ujumbe wa vitisho kuwa vitawashambulia wakazi vilidondoshwa na magenge ya watu wasiojulikana kwenye vijiji vitano.

Gazeti la The Daily Monitor la Uganda limeripoti kuwa vipeperushi vimedaiwa kutupwa kwenye vijiji...

May 22, 2018 Muimbaji Q chillah amefanya mahojiano Clouds FM kupitia kipindi cha XXL kinachoruka kwa masaa matatu kuanzia saa 7 kamili mchana mpaka saa 10 jioni na kwenye mahojiano hayo Q chillah amezungumza mambo mbalimbali kuhusu kuacha mziki na haya h...

Leo May 23, 2018 Moja ya stori ya kuifahamu ni kuhusu Watafiti kutoka Taasisi ya Novo Nordisk Research and Development ambapo wameonya kuwa kama aina ya mfumo wa maisha uliopo sasa utaendelea basi ifikapo mwaka 2045 asilimia 22 ambayo inakaribia robo ya...

Ipokee habari njema kutoka kwa staa mkongwe katika muziki wa Bongo Fleva Mwana FA ambaye amebahatika kupata mtoto wa pili wa kike usiku wa jana May 22,2018

Mwana FA ni miongoni mwa mastaa wachache ambayo hawaweki mahusiano yao ya kimapenzi katika mitandao ya kijami...

Ni usiku wa tarehe 22/05/2018 majira ya saa 4 usiku maeneo ya sinza mori imetokea ajari ya gari aina ya HARRIER kugongana na AMBULANCE iliyokua imebeba wagonjwa ambao ni akina mama wajawazito waliokua wakiwaishwa Hospitali kwa ajili ya kupata matibabu.

Kwa bahati nzuri...

Ni kitu cha kawaida au mara nyingi imezoeleka kuonekana kama wachezaji waliocheza pamoja au kocha na mchezaji ambao wamewahi kufanya kazi pamoja wakikutana mara nyingi wanaonekana kusalimiana kwa furaha.

Hii imekuwa tofauti kidogo kwa kocha wa Man United Jose Mourinho n...

Club ya Arsenal ya England usiku wa Jumatatu ya May 21 2018 imetangaza maamuzi magumu kuhusiana na kiungo wake wa kimataifa wa Hispania Santi Cazorla baada ya kuthibitisha kuwa imeamua kumuacha rasmi.

Arsenal wametangaza kufikia maamuzi hayo baada ya Santi Cazorla ...

Rais wa Iran Hassan Rouhani, amepinga vikali kauli ya Marekani iliyotolewa na waziri wake wa mambo ya nje Mike Pompeo, aliyesema kuwa taifa lake linatarajia kuiwekea Irani vikwazo ambavyo havijawahi kuvipitia katika historia ya taifa hilo.

Rouhani amesema Pompeo, alipok...

Please reload