Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

November 5, 2019

Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

November 5, 2019

Marekani yaanza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Paris

November 5, 2019

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa Fizi jimbo la Kivu Kusini

November 1, 2019

1/13
Please reload

23-Apr-2019

 Je unataka kujua siri ya wazee  hawa  juu ya vipaji vyao? tazama video hii na uweze kuelimika.

www.mzunguko.com

19-Apr-2019

Polisi nchini Nigeria imewatia mbaroni na kuwazuilia makumi ya watoto wa wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.

Mwandishi wa habari wa kanali ya Press TV mjini Abuja ameripoti kwamba, watoto hao wanazuiliwa na polisi ya Nigeria kwa zaidi ya siku mbili sasa.

Vyom...

26-Nov-2018

Calestous Juma alizaliwa tarehe Juni 9, 1953 –  na kufarikiDesemba 15, 2017) alikuwa mvumbuzi na mtafiti wa sayansi kutoka nchini Kenya aliyefundisha kwenye Chuo Kikuu cha Harvard, Marekani.

Katika maisha yake kama mtafiti na mwalimu wa chuo alishughulika  na maswa...

26-Nov-2018

 [siku kama ya leo tarehe 26 mwezi 11  mwaka wa 1986 msanii alikiba alizaliwa]

Ali Saleh Kiba (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa 1986)

ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunz...

26-Nov-2018

Ziwa Turkana ni ziwa  lililopo kaskazini  mwa Kenya. Halina mto unaotoka, hivyo maji yanayoingia yanapotea kwa njia ya uvukizaji. Ni ziwa kubwa la Kenya lakini linapatikana kaskazini ndani ya Ethiopia.

Ni  ziwa la jangw...

25-Nov-2018

Kisiwa cha Saanane (Saanane Island National Park) ni hifadhi ya taifa la Tanzania na ni hifadhi ndogo yenye eneo la kilomita za mraba 2.18, na iko umbali wa kilometa 2 kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza, katika Ghuba ya Ziwa Victoria nchini Ta...

24-Nov-2018

Ndege mpya ambayo itakuwa karibuni zaidi kununuliwa na serikali ya Tanzania kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege la Air Tanzania inakaribia kukamilika kutengenezwa.

Ndege hiyo, ambayo inaundwa na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus, itakuwa ya muundo wa A220...

24-Nov-2018

Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa takriban tani 16, kilianguka katika kilima cha Mlenjewilayani Mbozi katika mkoa wa Mbeya, Tanzania

Kipo kati ya vimondo vizito...

23-Nov-2018

Ngorongoro ni eneo  kubwa nchini Tanzania, lenye umbali wa takriban kilomita 180 kutoka Arusha; pia ni hifadhi ya taifa inayojulikana kote duniani. 

Kuna jumla ya wanyamapori wakubwa takriban 25,000, wakiwa pamoja na vifaruvibokony...

22-Nov-2018

Michael Gerard Tyson (amezaliwa 30 Juni 1966) ni mpiga ngumi wa uzito wa juu duniani unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani (WBC).

Ni bondia wa kwanza kuwahi kutwaa taji hilo akiwa na umri mdogo.

Mike alizaliwa katika mji wa Brooklyn New...

22-Nov-2018

Vasco da Gama  alikuwa baharia na mpelelezi kutoka Ureno.

Alikuwa Mzungu wa kwanza aliyefika Uhindi kwa kuzunguka Rasi ya Tumaini Jema kusini mwa Afrika.

Upande wa dini, alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki, tena mwanachama...

22-Nov-2018

Mchikichi  ni kati ya miti iliyo muhimu zaidi kiuchumi duniani. Matunda yake huleta mawese ambayo hutumika sana kama mafuta ya kupikia, pia  kwa ajili ya madawa mbalimbali, na siku hizi  hutumika kama diseli.

Mchikichi ni kati ya...

21-Nov-2018

Aliyekuwa  kiongozi wa kundi la wahalifu ambaye aliandika kitabu kuhusu jinsi aliishi maisha yake, ameuawa kwa kupigwa risasi siku moja kabla ya kutolewa kitabu chake.

Nedim Yasar, 31, alipigwa rasasi wakati akitoka kuzindua kitabu hicho siku ya Jumatatu kwenye mji mkuu...

21-Nov-2018

Mjukuu wa Mangi Meli, amefanyiwa vipimo vya kinasaba vitakavyosaidia kusaka fuvu la chifu huyo aliyenyongwa na wakoloni wa Kijerumani mwaka 1900

Mangi Meli alinyongwa baada ya kuongoza mapambano dhidi ya utawala wa kikoloni na baadae kichwa chake kukatwa na kupelekwa Uj...

Please reload