Marekani yaongoza maambukizi ya COVID-19, China yatangaza ushindi

March 30, 2020

Kenya yazindua mpango wa kupima corona kwa watu wengi

March 30, 2020

Jeshi la Somalia lawaua magaidi 142 wa kundi la Al-Shabab, lakomboa Janale

March 30, 2020

Ndege isiyo na rubani yatunguliwa karibu na makazi ya Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan

March 30, 2020

1/13
Please reload

23-Nov-2017

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe  leo tarehe 22 Novemba, 2017 amekuwa mgeni rasmi  kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Mashirika, Taasisi na Makampuni ya Umma na Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) yanayofanyika kw...

22-Nov-2017

Mnamo Julai 19, 2012, Anand Bora alipokea simu isiyo ya kawaida saa mbili asubuhi na kufahamishwa kwamba chuo alikuwa amekwama kwenye kisima katika kijiji kimoja jimbo la Maharashtra, magharibi mwa India.

Bw Bora alikimbia kwenye kijiji hicho cha Bubali na kup...

22-Nov-2017

Madereva wanaokamatwa na polisi kwa kuendesha magari kwa kasi kubwa wanaweza kumnukuu Papa wanapoomba msamaha kwa polisi.

Katika mkutano na maafisa wa polisi wa usalama barabarani nchini Italia, Pope Francis aliwaomba waonyeshe "huruma " kwa madereva wanaovunja sheria z...

22-Nov-2017

Upigaji kura wa mchezaji atakayeshinda taji la mchezaji bora wa Afrika la BBC mwaka 2017 umeanza.

Wachezaji watano walioorodheshwa ni Pierre-Emerick Aubameyang, Naby Keita, Sadio Mane, Victor Moses naMohamed Salah.

Walitangazwa katika kipindi maalum cha moja kwa moj...

22-Nov-2017

Spika wa bunge la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu .

Spika wa bunge Jacob Mudenda alisema kuwa hatua hiyo ni ya kujitolea na amefanya hivyo ili kuweza kuwepo kwa mabadiliko ya amani ya mamlaka kulingana na chombo cha habari cha Reuters.

Tangazo hilo...

14-Nov-2017

Viongozi wa kijamii katika mji wa Rajasthan nchini India wanasema mtu mmoja ambaye ni muislam ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaoamini ng'ombe kuwa mungu wao.

Ummar Khan alikua akisafirisha ng'ombe yeye na mwenzake katika kitongoji cha Alwar wakati walipovamiwa n...

14-Nov-2017

Tetenasi  ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria wanaoitwa ( Clostridium tetani). Wadudu hawa wanapatikana katika mazingira yanayotuzunguka mfano; ardhini,, misumari au vitu vyenye ncha, vinyesi vya baadhi ya wanyama nk.

Bacteria wa tetenasi wanaweza kuishi katika mazi...

14-Nov-2017

Radio ya umoja wa mataifa nchini DRC imesema takriban watu 33 wamefariki katika ajali ya treni.

Ajali hiyo imetokea katika mji wa Buyofwe Kusini mwa jimbo la Lualaba.

Taarifa kutoka Radio Okapi zinasema treni hiyo ilianguka kisha kuwaka moto.

Gavana wa jimbo la Lualaba Ri...

14-Nov-2017

Tetemeko la ukubwa wa 7.3 katika vipimo vya richa limekumba eneo la kaskazini mwa Iran na Iraq na kuua watu kadha.

Takriban watu 129 waliuawa katika mkoa ulio magharibi mwa Iran wa Kermanshah, kwa mujibu wa maafisa. Tetemeko hilo lilizua hofu hadi kusababisha watu kukim...

Mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia nchi unaanza rasmi leo mjini Bonn, Ujerumani kujadili jinsi ya kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa Paris yanayolenga kuzileta nchi pamoja kupunguza viwango vya joto duniani.

Waziri mkuu wa Fiji Voreqe Bainimarama ameufungua ra...

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.

Hatua hiyo hata hivyo haijaufurahisha upinzani ambao unataka Rais Joseph Kabila aondoke madarakani.

Uchaguzi ulipangiwa kufanyika mwaka huu...

Watu 26 wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mwenye silaha aliyewafyatulia risasi waumini katika kanisa moja jimbo la Texas wakati wa ibada, maafisa wanasema.

Shambulio hilo lilitekelezwa katika kanisa la First Baptist Church katika mji wa Sutherland Springs, mji mdogo ka...

Hatma ya mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte's huenda haijulikani iwapo kikosi chake kitashindwa na klabu ya Manchester United siku ya jumapili.

Conte amethibitisha kuwa mkufunzi wa Chelsea Abramovich alihudhuria kipindi cha mazoezi huku kukiwa na ripoti kwamba bilionea h...

Please reload